NAFASI YA MAKTABA ZA UMMA NCHINI

NAFASI YA MAKTABA ZA UMMA NCHINI

By Gibson J.E Mdakama | August 2018

Maktaba za umma ni moja ya vyombo muhimu sana katika ukuaji wa ubora wa elimu nchini. Makala hii ambayo imeandikwa kutokana matokeo ya utafiti kuhusua maktaba za Umma katika Wilaya Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro, inaangazia masuala mbalimbali ikiwemo hali ya uwepo wa maktaba za umma nchini kwa sasa, umuhimu wa kuwepo kwa maktaba hizo nchini katika maendeleo ya elimu na jamii kwa ujumla, changamoto pamoja na fursa mbalimbali za kuliwezesha taifa kukidhi hitaji la kuwepo kwa maktaba za umma katika ngazi ya kata. ‎Read more …